Wanafalsafa wameeleza kuwa duniani kuna aina tatu za watu: watu miguu wanaofuata maelekezo bila kuhoji, watu mikono wanaotekeleza na kutafsiri mawazo ya wengine, na watu vichwa wanaobuni suluhisho na kutatua matatizo ya jamii.
Akizungumza kuhusu dhana hiyo, Dastan Kamanzi, Mwanzilishi wa Ujuzi Era, amesema maendeleo ya jamii yanategemea kuongezeka kwa watu wenye uwezo wa kufikiri kwa kina na kubuni mawazo mapya.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates