Wanawake wanaoishi bila wanaume maarufu Single Mothers wamesema licha ya kuishi katika mazingira hayo bado kuna vitu ambavyo vinawakosesha heshima kwa jamii kuwachukulia tofauti.

Wanawake hao wamesema kutokana na maisha wanayopitia kuna wakati jamii huwachukulia kama wanatembea na waume za ‘watu’ jambo ambalo sio sahihi.

“Ukiwa single Mothers kuna vitu unavyovikosa, ndoa ina heshima binafsi nawashauri walio kwenye ndoa wasijaribu kutoka nje kulinda heshima,”amesema.

✍️ @jacqueline_mwangama
#CloudsDigitalUpdates.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *