Master Chef ndani ya Azam ONE.

Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano la upishi lenye ushindani mkubwa.

Nani kuibuka mpishi bora

Usikose Ijumaa hadi Jumapili saa 3:00 usiku kupitia #AzamONE

#AzamONEUnloacked #AzamONEWeSpeak

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *