Utekelezaji wa mpango wa “Jamii Namba” umekaribia ‘kuiva’ baada ya mswada wa mabadiliko ya sheria kuwasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kupelekwa Bungeni kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa kuwa Sheria.

Jamii Namba ni utaratibu unaotarajiwa kumtambulisha kila Mtanzania kuanzia pale anapozaliwa.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *