Je, una Elimu ya kutosha ya kukabiliana na majanga ya moto?
Takwimu za mwaka 2025 pekee zinaonesha ajili za moto zilifikia idadi ya zaidi ya 3,000 na kusababisha maafa ya vifo na hasara za mali ikiwemo majengo na biashara.

Tupe mano yak kuhusu namna bora ya kukabiliana na majanga ya moto kwenye maeneo ya makazi na kazi ikiwemo masoko na viwanda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *