Matukio ya majanga ya moto nchini yameendelea kutishia usalama wa maisha ya watu na mali zao huku idadi ya matukio hayo ikiendela kuwa juu katika kipindi cha mwaka 2025.
Miongoni mwa matukio ya moto ya hivi karibuni ni vifo vya watu watatu wa familia moja walifariki usiku wa kuamkia Januari 5 mkoani Mara.
Mhariri @moseskwindi