Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amewataka askari wa Idara ya uhamiaji nchini kuongeza ufanisi katika kutoa huduma bora kwa wageni ikiwemo watalii wanaoingia nchini ambao uliingizia taifa kiasi kikubwa cha fedha kinachosaidia sekta za maendeleo nchini ikiwemo Afya, Elimu,Miundombinu ya Barabara na Ujengaji wa Viwanja vya Ndege huku akiwataka kuwa mfano wa kuigwa.
#KilichoBoraKabisa