360 WAFIKA KWENYE SHIMO LA DARAJA LA MALECELA.
Advance Team ya timu ya taifa #Clouds360 @dr.samsasali360 pamoja na @jamestupatupa asubuhi ya leo wameamkia katika kero ya muda mrefu kwa watumiaji wa barabara ya Mwai Kibaki, kwenye shimo lililo karibu na daraja la Malecela ambalo ni hatarishi na lenye kuleta foleni kubwa hasa nyakati za jioni na usiku.
#LiveonClouds360
#LainiYawana
#Clouds26Nyoosha