Naibu Waziri Ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Dkt. Pius Chaya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanafuata maelekezo ya serikali kwa kuajiri wataalam wa ndani wenye ujuzi wa miradi inayotekelezwa, ikiwemo viwanda vya uzalishaji wa bidhaa.