#HABARI: Chifu Francis Ngeni kutoka mkoani Singida, amefikisha kilio chake kuhusu kesi ya ardhi iliyompelekea mdogo wake kufungwa gerezani mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Juma Homera, leo Januari 09, 2026 wakati wa Kliniki ya Huduma na msaada wa kisheria iliyozinduliea leo mkoani humo.

“Bwana mdogo amelima lile shamba miaka 17 lakini akaja mstaafu mmoja (ambaye ni ndugu yake) akaja kulidai lile shamba na wakamshtaki kwamba ameingilia shamba kwa nguvu.”

Powered by #MCHEZOSUPA

‎‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *