Karibu uwe sehemu ya kipindi cha Morning Trumpet kwa kuweka comment yako, umewahi kusikia juu kiasi cha juu cha kutunza nyumbani kwako na una maoni gani?
Tuandikie maoni yako na yatasomwa kwenye #MorningTrumpet Januari 13, 2026 kuanzia saa 2:00 asubuhi.