Matokeo ya upimaji wa taaluma kitaifa kwa wanafunzi wa darasa la nne ka shule za msingi na kidato cha pili kwa shule za sekondari yametakiwa kutumi ana Wizara ya Elimu kufanya tathmini ya mtaala mpya wa elimu ulioboreshwa.
Maoni hayo yametolewa na watu mbalimbali wakiwemo wataalamu wa elimu baada ya
Baraza la Mtihani Tanzania NECTA kutangaza matokeo ya upimaji huo ambayo yameonesha kuwa na ufaulu mzuri.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)