Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka watumiaji wa ndege nyuki (drones) wakiwemo waagizaji wanaozileta nchini kuzin…Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka watumiaji wa ndege nyuki (drones) wakiwemo waagizaji wanaozileta nchini kuzin…

Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka watumiaji wa ndege nyuki (drones) wakiwemo waagizaji wanaozileta nchini kuzingatia sheria na miongozo ya usajili wa vifaa hivyo ili kuendana na miongozo ya usalama.

Msisitizo huo umetolewa katika Maonesho ya 12 ya Biashara yanayoendelea Dimani, Zanzibar ambako elimu ya umiliki, usajili na utumiaji wa vifaa hivyo kwa kazi mbalimbali inaendelea kutolewa.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *