Mtoto Theresia Gabriel Kajola mwenye umri wa miaka 11 kutoka mkoani Manyara mpaka leo ameshindwa kujiunga na shule ya msingi kutokana na kuwa tegemezi kwa wadogo zake watatu baada ya Mama yao mzazi kuwakimbia takribani ikiwa imepita miaka mitatu na hii 2026 inatimia miaka minne.
Sauti imesikika ikisema kuwa hakumbuki ni lini amekula mchana ingawa hajawahi kulala njaa, mtoto huyu anaonesha ukomavu wake na kubeba maumivu moyoni mwisho wa siku kila kitu anakiona ni sawa tu kwake.
Msaada wako unaweza kuwa tabasamu na alama ya upendo wa kudumu kwa watoto hawa, kupata makazi mazuri ya kuishi, kuanza masomo, na kuishi kama watoto wengine, kupitia Namba ya simu ni 0797 430 747 ANNASTAZIA ANDREA na Mungu atakubariki.
