Michezo ya tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kupigwa mwezi huuMichezo ya tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kupigwa mwezi huu

Michezo ya tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kupigwa mwezi huu.

Wawakilishi wa Tanzania watakuwa viwanja vya ugenini, Yanga atakuwa Cairo kuwavaa Al Ahly wakati mnyama atakuwa Tunisia akikabiliana na Esperance de Tunis.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii, lipia sasa usipitwe.

#CAFCL #Yangasc #Simbasc #azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *