Serikali wilayani Musoma mkoani Mara imesema itawachukulia hataua kali baadhi ya wazazi na walezi, wanaowaficha watoto wenye mahitaji maalum iliwasindikishwe kuanza masomo kufutia serikali kuweka mazingira bora na wezeshi ya kusomea kwa kundi hilo.
Serikali wilayani Musoma mkoani Mara imesema itawachukulia hataua kali baadhi ya wazazi na walezi, wanaowaficha watoto wenye m… Serikali wilayani Musoma mkoani Mara imesema itawachukulia hataua kali baadhi ya wazazi na walezi, wanaowaficha watoto wenye mahitaji maalum iliwasindikishwe kuanza masomo kufutia serikali kuweka mazingira bora na wezeshi ya kusomea kwa kundi hilo.