Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa 25 % kwa bidhaa zin…Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa 25 % kwa bidhaa zin…

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa 25 % kwa bidhaa zinazoingizwa au kutoka Marekani, hatua iliyotolewa wakati maandamano ya kupinga serikali nchini Iran yakiingia wiki ya tatu.

China, moja ya washirika wakubwa wa kibiashara wa Iran, imetoa onyo kali dhidi ya mpango huo na kusema itachukua hatua kulinda maslahi yake.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *