Rais Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama, Judiciary Square, jijini Dodoma.
Katika mkutano huo, Jaji Mkuu George Masaju amesema Mahakama sasa zinatumia Kiswahili, na kwamba utoaji wa hukumu kwa Kiswahili utaanza mara tafsiri za matoleo ya kisheria zitakapokamilika.
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
