Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wa…Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wa…

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Palamagamba Kabudi ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na mitandao ya kijami.

Makonda amesema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha vijana kumiliki kamera na kompyuta za kisasa ili kutoa maudhui yenye ubora wa kimataifa yanayoitangaza Tanzania vizuri.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *