Kiwango cha ukosefu wa ajira kidunia kinatajwa kufikia wastani wa asilimia 8.9 huku Tanzania kiwango hicho kikishuka kwa asilimi…Kiwango cha ukosefu wa ajira kidunia kinatajwa kufikia wastani wa asilimia 8.9 huku Tanzania kiwango hicho kikishuka kwa asilimi…

Kiwango cha ukosefu wa ajira kidunia kinatajwa kufikia wastani wa asilimia 8.9 huku Tanzania kiwango hicho kikishuka kwa asilimia 0.2 na kufikia 8.7 kwa mwaka 2025.

Miongoni mwa hatua zinazoisaidia Tanzania ni ubunifu wa vijana wake kwenye kutengeneza ajira binafsi zilizo rasmi kwa njia zinazowawezesha kuendesha maisha yao na wanaowategemea.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *