Ndoto ya wakulima wa vijiji vya Ilemba, Sakalilo na Isanga mkoani Rukwa wanaotegemea skimu ya umwagiliaji kwa ajili ya kilimo huenda ikawa ‘ndoto iliyopotea’ baada ya miundombinu ya skimu hiyo kuanza kuharibiwa kutokana na mto unaopeleka maji kwenye skimu hiyo kupanuka na kuharibu kingo za skimu hiyo.
Mhariri @moseskwindi
