Ubunifu uliofanywa ndani ya Kilimanjaro IX unaifanya boti hiyo mpya ya Azam Marine kuwa ya kipekee zaidi.
Miongoni mwa ubunifu uliomo ni viti vya kisasa na picha za vivutio vya utalii wa Tanzania.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Azam Marine, Abubakar Azizi Salim anafafanua zaidi.
Mhariri @moseskwindi
