Uzalishaji wa parachichi unaofanywa kwa kutumia mbegu ya kisasa aina ya HASS unaelezwa kubadilisha mtazamo wa kilimo cha zao hilo mkoani Kigoma.
Uzalishaji huo unaofanyika katika shamba la Kibondo Greem farm unatajwa kuwavutia wakulima wengi na inakadiriwa idadi ya wakulima wa zao hilo kuongezeka.
Mhariri @moseskwindi
