#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema ili kuliponya Taifa amechukua hatua kadhaa ikiwemo kuanzisha Wizara ya Vijana iliyopo chini ya Ofisi ya Rais, kuwaachia huru watuhumiwa wa kesi ya Uhaini na kuanzisha Tume Huru ya Uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29.
Rais Samia ameyasema hayo katika hafla ya kufungua Mwaka na mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, leo Januari 15, 2026 Ikulu Chamwino, jijini Dodoma.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania