#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema utawala wake unalenga kurekebisha na kujenga Taifa, na kwamba migogoro iliyoshuhudiwa nchini sivyo Watanzania walivyo.
Dkt.Samia ameyasema hayo katika hafla ya kufungua Mwaka na mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, Ikulu Chamwino jijini Dodoma, ambapo ameongeza kusema kama Taifa tunaelewa makosa yetu lakini macho tuyaelekeze kwenye kesho yetu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania