Kijana mmoja ambaye bado hajatambuliwa jina wala makazi yake amekutwa ametelekezwa katika uwanja wa shule ya sekondari Nyanza Manispaa ya Geita kwa madai ya kushambuliwa na watu wasiojulikana nyakati za usiku akihisiwa kuwa mwizi.