#HABARI: Wananchi wamekumbushwa kuzingatia utunzaji wa fedha kwa kuzihifadhi vizuri ili zisiharibike ubora wake kwa kuepuka tabia ya kuhifadhi fedha kwenye matiti, kushika fedha hususani za noti ukiwa na vumbi la mkaa na hata kuzifunga kwenye khanga au kitenge.

Hali yamebainishwa na Afisa Mwandamizi Mkuu Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Kidee Mshihiri, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayofanyika Kitaifa Jijini Tanga na kuongeza kuwa kuweka fedha kwenye matiti husababisha noti kulowa jasho, kuchafuka na kupoteza ubora wake mapema lakini pia ni hatari za kiafya.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *