“….mchango wa sekta ya madini umeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka….mpaka kufika tarehe ya 25 mwezi wa kwanza mwaka 2026 sekta ya madini imekusanya zaidi ya bilioni 741…..na katika siku 100 za Mheshimiwa Rais yaani kuanzia Novemba mwaka jana mpaka Januari mwaka huu tumekusanya zaidi ya bilioni 311 sawa sawa na asilimia 103, ndani ya miezi mitatu…..”-Waziri wa Madini – Mheshimiwa Anthony Mavunde.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *