“Mh. Spika nilikuwa naomba majibu kutoka kwa Serikali kuhusiana na barabara ya Kasulu road barabara ambayo itakwenda kuwasaidia wananchi wa kata kama machinjioni, Lubuga Kagera pamoja na Kata ya Majengo, barabara iliyopo sasa hivi imewalazimisha wananchi hawa wakitaka kwenda kwenywe kata zao lazima wafike mjini halafu warudi nyuma, ikijengwa barabara ya hii ya Kasuru Road kuanzia pale Msimba kuelekea ujiji itasaidia wananchi hawa wasiingie mjini wapate Shortcut kwenye makazi yao. Mbunge wa Kigoma Mjini,”- Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu Baba Levo.
Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *