“….nitoe maelekezo kwa mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kuwa katika upimaji wa maeneo mapya wanazingatia kutenga maeneo ya kijani na nafasi ya upandaji miti katika mipango ya makazi na matumizi ya ardhi, ili kuwawezesha wananchi kupanda miti na hivyo kujenga makazi yenye ustahimilivu wa kimazingira…..”-Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *