Upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo nchini umekuwa changamoto kubwa huku uharibifu wa vyanzo vya kwasababu mbalimbali zikiwemo maendeleo na ukosefu wa elimu ya umuhimu wa vyanzo hivyo.

Je, kwa upande wako unafanya jitihada gani kulinda na kuhamasisha jamii kulinda vyanzo vya maji ikiwemo mito, mabwawa na chemchem?

Tuambie maoni yako nami tutayasoma katika #AdhuhuriLive �

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *