#HABARI: Wanafunzi 77 wamefutiwa matokeo ya kidato cha 4 kwa sababu za kuandika lugha chafu na wengine kwa udanganyifu katika mtihani, kati ya hao 47 kutoka kwenye vituo vya mtihani na 30 kutoka shule.
Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Profesa Said Mohamed, amebainisha haya wakati alipokuwa matokeo ya kidato cha nne Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.