Serikali imesema nchi ina akiba ya chakula kinachotosheleza kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo baada ya kufanya ukaguzi wa akiba na usalama wa chakula hicho kwenye Ghala la Taifa la Chakula (NFRA), Chang’ombe Dar es Salaam.
Mhariri @moses_kwindi
(Feed generated with FetchRSS)