#HABARI: Watu kumi wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso, usiku wa kuamk…
#HABARI: Watu kumi wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso, usiku wa kuamkia leo na kuteketea kwa moto ambapo ajali hiyo imehusisha…
Kuenea wimbi la mapambano ya umma ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi; changamoto ambayo utawala wa kizayuni haujawahi kuishuhudia
Wachambuzi wa Kizayuni wamekiri kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na makundi mapya ya Muqawama wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
AU yakosolewa kwa kuunga mkono mpango wa Sudan kuhusu amani
Muungano wa mashirika ya kiraia nchini Sudan, yameikosoa tume ya Umoja wa Afrika kwa kukaribisha mpango wa amani uliopendekezwa na Serikali ya kijeshi, ikitaja uamuzi huo kama wa hatari na…
đź”´#KUMEKUCHA: MWAKA 2026 UWE WA AMANI NA UTULIVU, JANUARI 01 2026
đź”´#KUMEKUCHA: MWAKA 2026 UWE WA AMANI NA UTULIVU, JANUARI 01 2026
Sudan yafuzu hatua ya 16 bora mashindano ya AFCON
Wawakilishi wengine kutoka pembe ya Afrika katika michuano ya mwaka huu ya AFCON inayoendelea nchini Morocco, nchi ya Sudan wamefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano ya michuano hiyo licha ya kupoteza…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini Kigoma kushindwa kuyaondoa maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo l…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini Kigoma kushindwa kuyaondoa maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Katubuka kwa miaka mitatu. Je, Watendaji wa Wakala huo wawajibishwe?
Minister stresses jobs creation as bottling plant opens in Zanzibar
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S Minister for Water, Energy and Minerals, Mr Nadir Abdullatif Al-Wardy, has urged investors at the newly opened Maisha Bottlers Zanzibar factory to prioritise the employment of local youth…
đź”´ #MAGAZETI: SAMIA: 2026 NI WA KUJENGA UMOJA WA KITAIFA / FEI TOTO ALIVYOVUNJA….JANUARI 01, 2026
đź”´ #MAGAZETI: SAMIA: 2026 NI WA KUJENGA UMOJA WA KITAIFA / FEI TOTO ALIVYOVUNJA....JANUARI 01, 2026
Coast region to become manufacturing, logistics hub
COAST REGION: PLANS to transform the Coast Region into Tanzania’s leading manufacturing and logistics hub are at an advanced stage, with the establishment of the Bagamoyo Eco-Maritime City (BEMC) now…
Minister urges investors to focus on increased meat production
KAGERA: THE Minister for Livestock and Fisheries, Dr Bashiru Ally has urged investors to focus on increased meat production due to a growing demand for meat at domestic and international…
Kumbukumbu ya Haj Qassem na Abu Mahdi al-Muhandis yafanyika Baghdad
Kumbukumbu ya mwaka wa 6 tangu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH na Abu Mahdi…
Hauli ya mwaka wa 6 ya Haj Qassem na Abu Mahdi al-Muhandis yafanyika nchini Iraq
Kumbukumbu ya mwaka wa 6 tangu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH na Abu Mahdi…
CRDB closes year with university sponsorships
DAR ES SALAAM: Two university students have closed the year on a high note after receiving full tuition sponsorships from CRDB Bank under its 2025 SimBanking campaign, as the lender…
Alkhamisi tarehe Mosi Januari, mwaka 2026
Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe Mosi Januari mwaka 2026.
Iran yalaani vitisho vya kijeshi vya wazi vya Trump; yalitaka Baraza la Usalama kuchukua hatua
Iran imelaani rasmi vitisho "vikubwa na vya wazi" vya vita vya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu uwezo woa kiulinzi na miraidi ya nyuklia ya nchi hii inayotekelezwa mwa malengo…
Over 500 locals recruited for strategic oil search project
ARUSHA: OVER 500 Tanzanians, including local youth from surrounding villages, have been recruited for the execution of the second phase of Eyasi–Wembere oil and gas exploration project at Endeshi Village…
Rais wa Somalia: Somaliland inashirikiana na Israel dhidi ya Wapalestina
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amezinukuu ripoti za kiitelijinsia na kusema kuwa eneo lililojitenga la na nchi hiyo la Somaliland limekubali kuwapokea Wapalestina na kuanzishwa kambi ya kijeshi ya…
Rais wa Somalia: Somaliland imekubali kuwapa makazi Wapalestina
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amezinukuu ripoti za kiitelijinsia na kusema kuwa eneo lililojitenga la na nchi hiyo la Somaliland limekubali kuwapokea Wapalestina na kuanzishwa kambi ya kijeshi ya…
Israel yasitisha shughuli za mashirika ya misaada zaidi ya 30 huko Gaza chini ya sheria mpya za usajili
Israel imesimamisha shughuli za mashirika ya kimataifa 30 ya masuala ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Waandishi wa habari na watetezi wa haki za binadamu wamekosoa na kulaani vikali hatua…
Ukatili wa kingono dhidi ya watoto nchini Kongo umekithiri na ni wa kimfumo
Ukatili wa kingono dhidi ya watoto limekuwa jambo la kawaida, la kimfumo na unazidi kuongezeka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hii ni kwa mujibi wa ripoti ya Shirika la…
East Africa drives Iran’s export growth
DAR ES SALAAM: Tanzania is among Iran’s top five export destinations over the past eight months, highlighting growing trade ties with East Africa and the region’s role in diversifying Iran’s…
 YEAR ENDER 2025: Nation lost big names
DAR ES SALAAM: THE year 2025 will be remembered in the country as a season of repeated farewells, marked by the loss of leaders, thinkers and artists whose lives shaped…
Z’bar current account surplus widens on tourism gains
ZANZIBAR: Zanzibar’s current account surplus has strengthened markedly, signalling a sustained improvement in the external sector as strong growth in services exports driven by rising tourism receipts has more than…
Beekeepers urged to protect environment for more honey
DODOMA: BEEKEEPERS in Kongwa District, Dodoma Region have been urged to protect environment by avoiding deforestation and planting flowering trees to improve honey production and quality. Kongwa District Commissioner, Mr…