Katika movie ya Kihindi kupitia AzamTWO leo saa 4:00 usiku ni kitu cha Ab Tak Chhappan 2
Katika movie ya Kihindi kupitia AzamTWO leo saa 4:00 usiku ni kitu cha Ab Tak Chhappan 2. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #Azammaxweb
Katika movie ya Kihindi kupitia AzamTWO leo saa 4:00 usiku ni kitu cha Ab Tak Chhappan 2. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #Azammaxweb
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenan Kihongosi amewataka...
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt. Jafar Seif, amesema anakusudia kuzunguka nchi nzima kuzungumza na watumishi wa…
Bibi acharuka, maskini Tabu anayoyapitia. Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Wananchi wa maeneo ya Kisangesangeni na Mauru, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameeleza...
Asilimia 26.43 ya wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waliotarajiwa kuripoti kwa ajili ya...
Waangalizi wa uchaguzi wamelikosoa vikali Jeshi la Uganda (UPDF) kwa kutoa maelekezo yanayohusu...
KIUNGO mkabaji wa Pamba Jiji, Kelvin Nashon amesema mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) 2025 yaliyomalizika jana huko Morocco, yamemwongezea uzoefu na kujiamini, jambo ambalo litamsaidia katika Ligi Kuu…
BAO la pili lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika dakika ya 35 wakati timu hiyo ikiizamisha Coastal Union kwa mabao 3-0 juzi usiku kwenye…
Mahakama ya Iran imesema itawafikisha mahakamani watu wote waliohusika katika kusababisha vifo vya watu wakati wa machafuko ya hivi karibuni nchini kote, ikiahidi adhabu kali kwa watakaopatikana na hatia.
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amewatolea wito maafisa wa Somaliland kushiriki katika mazungumzo na serikali yake; akisema kuwa yuko tayari kuafikiana katika masuala yote isipokuwa "umoja wa nchi."
WAKATI zikibakia takribani wiki mbili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 30, 2026, mabosi wa Namungo wamefungua mazungumzo rasmi ya kuipata saini ya kiungo mshambuliaji wa kikosi cha…
UONGOZI wa Fountain Gate uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa JKU FC ya visiwani Zanzibar, Tariq Mohamed Mkonga, baada ya pande mbili kati ya…
KMC inaendelea na maboresho mbalimbali dirisha hili dogo na kwa sasa uongozi wa kikosi hicho uko katika mazungumzo ya kumnasa kiungo mshambuliaji wa Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship, Richardson…
Katika nchi za China na Mongolia, kuna jamii ya watu waitwao Mosou. Ni watu wanaoshika mila...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa…
Sababu ya talaka kuwa chukizo haitokani tu na kuvunjika kwa mkataba wa kisheria, bali ni...
Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini Sudan Kusini leo imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuzorota kwa hali ya kisiasa na kiusalama nchini humo, na imelaani mapigano mapya…
GOLI alilofunga jana mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudia, Clara Luvanga dhidi ya Neom SC Ligi Kuu ya wanawake ya Saudi Arabia limemfanya afikishe idadi ya mabao 12 na asisti…
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Zuwena Aziz ‘Zizou’, anayekipiga katika timu ya Mogbwemo Queens ya Sierra Leone ametaja utofauti wa ligi ya nchi hiyo na Tanzania.
VIONGOZI wa Mendiola inayoshiriki Ligi Kuu Ufilipino wako kwenye mchakato wa kumboreshea mkataba winga wa Kitanzania, John Mgong’os baada ya kuridhishwa na kiwango chake.
Salamu za Pole | Januari 18, 2026
KASI ya wachezaji wa Kitanzania wanaocheza soka nje kurudi nyumbani inazidi kuongezeka baada ya kiungo mshambuliaji wa zamani wa Beykoz Anadolu Spor ya Uturuki, Shafii Omary Kimambo naye kuunga juhudi…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka...
#HABARI: Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati sintofahamu iliyojitokeza kufuatia agizo la serikali…
KIUNGO fundi wa JKT Queens, Elizabeth John amesema ushindani wa namba katika kikosi hicho ni mkubwa hasa eneo la kiungo, lakini umechangia kuongeza kiwango cha wachezaji.
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema sababu kubwa ya timu hiyo kutofanya vizuri mwanzoni mwa msimu wa Ligi Kuu ya Wanawake ni kukosa mshambuliaji mwenye uwezo wa kufunga mabao.
MECHI sita alizocheza golikipa wa Tausi FC, Chelsea Ngole zimemuamsha kupambana zaidi kuhakikisha anaisaidia timu hiyo kutoruhusu bao.
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu uliopita, Stumai Abdallah hajafikia kiwango alichokionyesha msimu uliopita baada ya kuanza msimu huu kwa kufunga bao moja na asisti nne.
🔴TAMASHA LA MICHEZO: |JANUARI 18, 2026
Rais wa Marekani anapendekeza kuanzisha upya mazungumzo kati ya Misri na Ethiopia kuhusu bwawa liitwao Grand Ethiopian Renaissance (GERD). Siku ya Ijumaa, Januari 16, Donald Trump alichapisha barua iliyoelekezwa kwa…
Pazia la Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 linafungwa rasmi leo kuanzia saa 4:00 usiku...
Machafuko ya hivi karibuni nchini Iran na tishio la Trump kuishambulia kijeshi Iran ikiwa ni katika madai ya kuwaunga mkono wanaojiita waandamanaji vimezifanya nchi za eneo kuwa na wasiwasi mkubwa.
BAADA ya Mbeya Kwanza kumuuza, Boniface Mwanjonde aliyejiunga na Fountain Gate dirisha hili dogo la Januari 2026, mabosi wa kikosi hicho wamekamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa maafande wa Tanzania…
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kutumia...
Mkutano wa ngazi ya juu ulifanyika Jumamosi, Juni 17, 2026, huko Lomé, ukizingatia mshikamano na uimarishaji wa mchakato wa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la…
Kiongozi wa upinzani na mshindani mkuu wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni nchini Uganda, Robert Kyangulani maarufu kama Bobi Wine amesema hakubaliani na matokeo ya uchaguzi…
Wakazi wa Greenland walifanya maandamano jana Jumamosi kupinga azma ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kutaka kisiwa hicho cha Aktiki kikabidhiwe Washington, wakisisitiza kuwa wakazi wa eneo hilo wanapasa…
Rais wa Marekani, Donald Trump amezitaka nchi mbali mbali duniani zilipe angalau dola bilioni 1 ili kusalia katika "Bodi ya Amani" ya Gaza, baada ya kumalizika muhula ulioanishwa wa miaka…
Wakati fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika ikichezwa leo Jumapili, Januari 18, rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (AFCON), Patrice Motsepe, ametangaza siku ya Jumamosi Januari 17 kutamatika…
Hatimaye wamefumwa, Melis anachumbiwa, kule nako Devran haishiwi kufoka kila siku. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Chelsea inajiandaa kulipa £43m kwa Jeremy Jacquet, Napoli inamfukuzia Evan Ferguson, na Bournemouth inamtaka Christos Mandas.
Baada ya kushindwa kutamba Katika Kombe la Mapinduzi 2026, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker...
#HABARI: Mamia ya abiria wanaosafiri kati ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Dar es Salaam wamekwama katika Daraja la Kikavu kufuatia ajali ya malori mawili yaliyogongana uso kwa uso katikati…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Tanzania, Mussa...
Mshauli Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe, amesisitiza umuhimu wa kutumia maumivu na changamoto za maisha kama chachu ya kufanikisha malengo. Amesema kuwa wengi wanapofanikisha maisha yao, huwa wanasahau…
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amehudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais wa Jimbo la Kaskazini Mashariki huko Las Anod siku ya Jumamosi, Januari 17. Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia…
Hadi huruma Masha wetu 🥹 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2