Pole @mashavu_kikala 😅
Pole @mashavu_kikala 😅
Sierra Leone, leo Jumapili, Januari 18, inazindua Siku ya kitaifa ya ukumbusho. Tarehe hii imetangazwa na Rais Julius Maada Bio kutekeleza pendekezo muhimu la Tume ya Ukweli na Maridhiano. Mamlaka…
Ilibidi tu Suzy ateme nyongo 🥹 #NomaSeries
Wamemcuruga tena Adam 🤯 #NomaSeries
Katibu wa NEC ,Itikadi na Mafunzo kenani kihongosi mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM wilaya ya Manyoni amewasilisha salamu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya…
Maneno ya busara ya binti yake Tony yamemnyamazisha Wendy 🥹
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Mbeya imeanza mchakato wa...
Mjasiriamali Dorice Mushi, ambaye amepitia hali ngumu ya maisha kabla ya kufanikiwa kimaisha, amesema kuwa mafanikio yoyote huanza na Mungu katika kila jambo. Ameeleza kuwa ili kufanikiwa katika malengo anayoyaweka,…
Nchini Guinea, Jenerali Mamadi Doumbouya, ambaye hivi karibuni alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais alioufanya bila viongozi wa vyama vikuu vya siasa vya Guinea, ameapishwa Jumamosi, Januari 17. Maelfu ya…
Mwenezi Kihongosi yupo Mkoani Singida katika ziara ya kichama kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Ikiwa ni mwezi mmoja na siku sita tangu aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama...
Kundi la AFC/M23 hatimaye lilitangaza siku ya kuondoka kabisa kutoka katika jiji hilo. Siku ya Jumamosi alaasiri, safu za wapiganaji wa AFC/M23 zilionekana zikiondoka Uvira. Imechapishwa: 18/01/2026 – 10:09 Dakika…
Mbunge viti maalumu aliyekuwa akiwakilisha kundi la Wafanyakazi wa Sekta binafsi na Umma...
Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa Uganda kuzima mtandao wa intaneti wakati wa uchaguzi kwa sababu za usalama wa kitaifa.
Mahakama ya Rufaa nchini imebariki uamuzi wa Bodi ya Rufaa za Kodi (TRAB) na Baraza Kuu la...
Mbunge wa Viti Maalumu, CCM - kundi la wafanyakazi, Halima Iddi Nassor amefariki dunia. Taarifa ya Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu imesema Halima amefikwa na umauti leo Jumapili, Januari…
#HABARI: Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Stephano Loto, amefariki dunia baada ya kushambaliwa vibaya na kundi la fisi waliomjeruhi sehemu mbalimbali na kupelekea umauti, tukio lililotokea katika Kijiji cha…
Bwana Yesu asifiwe, karibu kwenye somo la leo Jumapili lenye kichwa kinachosema ‘Usiwe kama...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Idd Nassor, amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dar es Salaam wakati alipokuwa akitibiwa. "Kwa masikitiko makubwa, natangaza kifo cha Mbunge…
Msemaji wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Iran amesema: Mabalozi wa nchi kama vile Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ndio waliochochea ghasia na kusimamia…
Wananchi katika nchi za Pakistani na Iraq wamefanya maandamano kuiunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mbele ya vitendo…
Shirika la Taifa la Gesi la Iran limetangaza kuwa, limeweka rekodi mpya ya uzalishaji wa kila siku wa gesi asilia, sambamba na kuongezeka mahitaji ya familia, mitambo ya umeme na…
Waziri Mkuu wa Iraq amekosoa vikali unyama na mauaji ya kigaidi huko Ghaza na Lebanon, mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel nchini Syria, pamoja na tishio dhidi ya Iran ambayo ni…
#HABARI:Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) ametangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Idd Nassor, kilichotokea leo Jumapili Januari 18,…
Taarifa za awali zinasema kuwa watu wasiopungua wanane wamepoteza maisha na wengine zaidi ya ishirini wamejeruhiwa baada ya moto mkubwa kuzuka katika eneo la Makina la makazi duni ya watu…
Waandamanaji nchini Iran na wafuasi wao nje ya nchi wana matumaini kwamba utawala wa Kiislamu jijini Tehran uko katika hatua ya kuporomoka. Hilo ni kweli?
Yoweri Museveni ameshinda muhula wa saba katika uchaguzi baada ya kuahidi kuwa sekta changa ya mafuta itainua uchumi.
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa…
#SWALILAKIPIMAJOTO:Tani elfu 26 za mbolea ya kupandia aina ya DAP kuwasili Bandari ya Dar es Salaam . Je, mamlaka zimejipanga kuwafikishia wakulima kwa wakati?
🔴KUMEKUCHA :MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA TANZANIA..JANUARI 18, 2026
Sadio Mané ataisaidia Senegal kushinda taji dhidi mwenyeji Morocco baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 kusema hii itakuwa “fainali yake ya mwisho ya Afcon.”?
🔴 #MAGAZETI: SABABU VIJANA KUFANYA VIRUGU MSIBANI / MRITHI WA CAMARA KAPATIKANA..JANUARI 18, 2026
Shirika la ujasusi la Iran limetangaza kuwa limemkamata mmoja wa maajenti wa ngazi ya juu aliyepewa mafunzo na mashirika ya ujasusi ya Marekani na Israel.
Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ametoa indhari kali kwa Saudi Arabia na Misri kuhusiana na hatua zinazochukuliwa na utawala wa kizayuni wa Israel na akasema:…
Mamady Doumbouya, jenerali aliyeongoza jeshi la Guinea kuchukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mnamo mwaka 2021, ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 18, 2026
Ikulu ya White House imetangaza majina ya wajumbe wa linaloitwa baraza la amani litakaloongozwa na Rais wa Marekani Donald Trump na kusimamia utawala wa eneo la Palestina la Ukanda wa…
Muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali ya Uingereza (NGOs) umeitaka serikali ya nchi hiyo kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel, na kuonya kuwa silaha zinazotengenezwa Uingereza ziko hatarini…
Tehran imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kukariri uzoefu uliofeli wakati wa vita vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
Leo ni Jumapili 28 Rajab 1447 Hijria sawa na 18 Januari 2026 Miladia.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
#Jumapili hii kwenye #DIBAJI, uchambuzi wa tamthiliya ya #Kombolela na #6ofUs. Ni kuanzia saa 12:00 jioni kupitia #UTV
Nigeria imefanikiwa kuibuka mshindi wa tatu michuano ya AFCON 2026 huko Morocco baada ya kuitungua Misri mikwaju ya penalti 4-2. Mchezo huo wa kusaka mshindi wa tatu umekwenda hatua hiyo…
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF), Dkt Patrice Motsepe amefuta mashindano yanayohusu wachezaji wanaocheza Ligi za ndani (CHAN), akidai yanagharimu kiasi kikubwa cha fedha. Motsepe ametoa kauli hiyo kupitia…
Dodoma. Wakurugenzi wa halmashauri nchini Tanzania wameagizwa kusimamia na kuwa mfano wa...
#HABARI: Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametoa tahadhari kuhusu utegemezi wa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) kutoka mataifa ya nje, akionya kuwa hali hiyo inahatarisha…
#HABARI: Jopo la Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ujerumani (German Agribusiness Alliance) limeahidi kushiriki katika Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Wakulima – Nane Nane 2026, yanayotarajiwa kufanyika nchini Tanzania kuanzia…