#KUMEKUCHA”….shida tuliyonayo sisi Tanzania ni kwamba viwanda hatunavyo vingi na kwa kuona hali hiyo sisi kama chama kikuu cha…
#KUMEKUCHA"....shida tuliyonayo sisi Tanzania ni kwamba viwanda hatunavyo vingi na kwa kuona hali hiyo sisi kama chama kikuu cha ushirika cha TANECU tumethubutu kupitia maelekezo ya Mheshimiwa Rais....kwamba ifikapo 2030…
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Chelsea iko tayari kumuuza Fernandez
Chelsea imeiambia Real Madrid kuwa inaweza kumuachia Enzo Fernandez, Man Utd inamtaka Joao Gomes na Nottingham Forest iko mbioni kumsajili Lorenzo Lucca.
🔴KUMEKUCHA : MAENDELEO ZAO LA KOROSHO NA UFUTA……JANUARI 19, 2026
🔴KUMEKUCHA : MAENDELEO ZAO LA KOROSHO NA UFUTA......JANUARI 19, 2026
Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho
Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge...
Takribani watu 21 wapoteza maisha baada ya treni mbili za mwendo kasi kugongana Hispania
Takribani watu 21 wamepoteza maisha baada ya ajali iliyohusisha treni za mwendo kasi kusini mwa Hispania, huku mamlaka zikionya kwamba idadi ya vifo inaweza kuongezeka.
Diaz atakuwa na ‘ndoto mbaya’ kwa kukosa ‘Panenka’
Brahim Diaz alikuwa na nafasi ya kuishindia Morocco Afcon Morocco, lakini uamuzi wake wa kujaribu Panenka iliitumbukia nyongo baada ya Senegal kushinda mchezo katika muda wa ziada.
🔴 #MAGAZETI: MISHAHARA MIPYA YAIBUA KASHESHE / BARKER AANZA LIGI KWA SARE….JANUARI 19, 2026
🔴 #MAGAZETI: MISHAHARA MIPYA YAIBUA KASHESHE / BARKER AANZA LIGI KWA SARE....JANUARI 19, 2026
Fainali ya ‘vurugu’ Senegal ikitwaa ubingwa AFCON
Hilo ni taji la pili la AFCON kwa Senegal baada ya kutwaa kwa mara ya kwanza mwaka 2021.
Rais Pezeshkian: Shambulio lolote dhidi ya Ayatullah Khamenei ni vita ‘kamili’ na taifa la Iran
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameonya kwamba shambulio lolote dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei litakuwa "vita kamili" na taifa la Iran.
#KIPIMAJOTO: Kuendelea kwa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara
#KIPIMAJOTO: Kuendelea kwa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. Je, wachezaji wazawa watumie fursa hiyo kuonesha vipaji vyao ili wajiuze Kimataifa
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 19, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 19, 2026
ACT-Wazalendo ngoma mbichi sakata la SUK
Ugumu umeendelea kuyatawala mazungumzo kati ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Chama...
ACT – Wazalendo ngoma mbichi
Ugumu umeendelea kuyatawala mazungumzo kati ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Chama...
Jumatatu, 19 Januari, 2026
Leo ni Jumatatu 29 Rajab 1447 Hijria mwafaka na 19 Januari 2026.
Maandamano Iran: Je, Kim Jong-un ana wasiwasi?
Je, Korea Kaskazini, ambayo, kama Iran, imekuwa chini ya vikwazo vikali na shinikizo la kiuchumi kwa miaka mingi, inatathmini vipi maandamano ya Iran?
Greenland na mantiki ya ubabe; ushuru, wenzo wa mashinikizo ya kisiasa ya Trump
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa, kuanzia Februari Mosi, ataweka ushuru wa 10% kwa nchi zinazopinga kuunganishwa Greenland na Marekani na kwamba, kuanzia tarehe Mosi Juni ushuru huo utaongezwa…
Iran: Kukabidhiwa kambi ya anga ya Ain al Asad ni ishara ya kuimarisha mamlaka ya kujitawala ya Iraq
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekaribisha kukabidhiwa kambi ya anga ya Ain al Asad kwa vikosi vya jeshi la Iraq na kuitaja hatua hiyo kuwa ishara ya kuimarishwa…
Rais Doumbouya wa Guinea ameapa kutotumia madaraka kwa manufaa yake binafsi
Rais wa Guinea aliyeapishwa hivi karibuni, Mamady Doumbouya, ameahidi kutotumia vibaya madaraka yake ya urais, akisema ‘‘hatatumia kamwe mamlaka’’ aliyopewa ‘’kwa ajili ya maslahi binafsi’’.
Pentagon kutuma wanajeshi 1,500 kukabiliana na waandamanaji Minnesota
Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) imewaamuru wanajeshi wapatao 1,500 walio kazini wawe tayari kutumwa kwenda kukandamiza maandamano huko Minnesota.
Rais wa muda: Venezuela ina haki ya kujenga uhusiano na Iran
Rais wa uongozi wa muda wa Venezuela, Delcy Rodriguez, amethibitisha tena kwamba Caracas ina haki ya kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na China, Cuba, Iran na Russia na kupinga uingiliaji wa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 19, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari…
Afcon 2025: Senegal vs Morocco
Wenyeji wa michuano hiyo Morocco wanatafuta kushinda taji lao la kwanza la AFCON baada ya miaka 50, wakilibeba taji hilo mara ya mwisho mwaka wa 1976? Waliosimama mbele yao kuwazuia…
Aziza amecharuka bwana
Aziza amecharuka bwana
Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndg Jabiri Makame amesema kuongezeka kwa ufanisi katika bandari ya DSM kumeongeza kiwango cha mzigo unaop…
Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndg Jabiri Makame amesema kuongezeka kwa ufanisi katika bandari ya DSM kumeongeza kiwango cha mzigo unaopita katika lango la Tunduma kwa mwaka, kutoka tani mil…
Ni Katibu wa NEC ,Itikadi ,Uenezi na Mafunzo CCM Kinani Kihongozi akizungumza wakati akiwa shina namba 7 wilayani Manyoni mkoani…
Ni Katibu wa NEC ,Itikadi ,Uenezi na Mafunzo CCM Kinani Kihongozi akizungumza wakati akiwa shina namba 7 wilayani Manyoni mkoani Singida akiwa kwenye ziara yake ya Ufuatiliaji wa utekelezaji wa…
#HABARI: Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la James Francis mwenye umri wa miaka 28 anayeishi wilayani Babati mkoani Manyara ameu…
#HABARI: Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la James Francis mwenye umri wa miaka 28 anayeishi wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kutokana na…
Agizo la Mchengerwa la mitihani ya afya lazua mjadala wa ubora
Kauli ya Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ya kutaka usimamizi wa mitihani ya vyuo na kada za...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 18/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 18/01/2026
Ushindi wa Museveni wawaibua wasomi, wamulika demokrasia Afrika
Ushindi wa kiongozi wa Uganda wa muda mrefu, Yoweri Museveni (81), umewaibua wachambuzi wa...
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 19, 2026 – AJALI DARAJA LA KIKAVU YAKWAMISHA SAFARI
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 19, 2026 - AJALI DARAJA LA KIKAVU YAKWAMISHA SAFARI
NMB mwajiri bora mwaka wa tatu mfululizo
Benki ya NMB imetangazwa kuwa mwajiri bora Tanzania kwa mwaka wa tatu mfululizo kupitia tuzo za...
MIAKA 33 YA CHADEMA: Nafasi za uteuzi ngazi ya juu mfupa mgumu
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitimiza miaka 33 tangu kuanzishwa kwake...
UCHAMBUZI WA DANIEL MJEMA: Mambo haya 4 yakifanyika, tutaponya majeraha ya Oktoba 29
Hakuna ubishi kuwa taifa limegawanyika, watu wana maumivu makubwa mioyoni mwao kutokana na yale...
ETDCO yasaini mikataba ya umeme vitongoji 620 Katavi, Ruvuma
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Umeme (ETDCO) imesaini mikataba ya kutekeleza...
DC Maswa aweka mkazo ufaulu darasa la nne, saba
Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dk Vicent Anney ametoa wito kwa walimu wakuu, walimu wa...
Dira 2050 kuwakutanisha wadau wa Tehama, mambo matano kujadiliwa
Wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) wanatarajia kukutana kesho Januari 19...
Auawa akidaiwa kutembea na mke wa mtu
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Joseph Madaha, mkazi wa Kitongoji cha Kipela Magharibi...
Mtibwa Sugar yaibana Simba jeshini
Simba imeendelea kukutana na matokeo mabaya kwenye michezo ya Ligi Kuu msimu huu baada ya jana kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar.
Hussein Masalanga atua Yanga
KLABU ya Yanga, imemchukua kwa mkopo wa miezi sita golikipa wa Singida Black Stars, Hussein Masalanga ambaye atahudumu kikosini hapo hadi mwisho wa msimu huu.
Masalanga atua Yanga
Klabu ya Yanga, imemchukua kwa mkopo wa miezi sita golikipa wa Singida Black Stars, Hussein...
Mtibwa yaibana Simba Ligi Kuu
Simba imeendelea kukutana na matokeo mabaya kwenye michezo ya Ligi Kuu msimu huu baada ya...
Baada ya timu ya taifa #Clouds360 siku kadhaa nyuma kuhoji juu ya hali ya ushindani na usimamizi wa ushindani pamoja na udhibiti…
Baada ya timu ya taifa #Clouds360 siku kadhaa nyuma kuhoji juu ya hali ya ushindani na usimamizi wa ushindani pamoja na udhibiti wa ukiritimba nchini? Habari zimefika mpaka kwa Tume…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA – JANUARI 18, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA - JANUARI 18, 2026
#HABARI: Watu wasiojulikana wamemvamia msaidizi wa shambani Bw
#HABARI: Watu wasiojulikana wamemvamia msaidizi wa shambani Bw. Joseph Madaha usiku wa jana akiwa kwenye makazi yake katika kijiji na Kata ya Tumbi Wilaya ya Tabora na kumpiga kikatili sehemu…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetenga shilingi bilioni 6.4 kwa ajili ya kuboresha miundombin…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetenga shilingi bilioni 6.4 kwa ajili ya kuboresha miundombinu na kununua vifaa vya kisasa katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam…
#HABARI: Mvua kubwa na upepo mkali mkoani Ruvuma, umebomoa bweni la dharura katika Shule ya Sekondari Mateteleka, Halmashauri ya…
#HABARI: Mvua kubwa na upepo mkali mkoani Ruvuma, umebomoa bweni la dharura katika Shule ya Sekondari Mateteleka, Halmashauri ya Madaba. Jengo hilo, ambalo awali lilijengwa na wananchi kama bwalo la…
#HABARI: Mwili wa Marehemu Mheshimiwa Halima Idd Nassor umefikishwa nyumbani kwake Kibada, Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Sal…
#HABARI: Mwili wa Marehemu Mheshimiwa Halima Idd Nassor umefikishwa nyumbani kwake Kibada, Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya dua maalumu ya nyumbani, kabla ya kuzikwa leo…