Askari wapya 256 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wamekula kiapo kulitumikia jeshi hilo na kulinda rasimali za Taifa baada ya kuhitimu mafunzo ya jeshi yaliyodumu kwa miezi sita,.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *