Serikali ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara imesema italazimika kutumia nguvu za kisheria kwa wazazi ambao watoto wao bado hawajaripoti shuleni kuanza masomo ya darasa la saba na kidato cha kwanza.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi