Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa malaria vimetajwa kupungua nchini kutoka vifo 5,431 mwaka 2015 hadi kufikia vifo 1,231 mwaka 2024. Hata hivyo, ripoti ya malaria duniani ya mwaka 2024 inaonyesha kuwa Tanzania bado ni miongoni mwa nchi 10 zinazochangia vifo vitokanavyo na malaria kwa asilimia 3.3.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi