Zaidi ya wananchi 12,256 kutoka vijiji 43 na vitongoji 379 katika mkoa wa Dodoma wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya kukosa umeme baada ya serikali kupokea mradi wa usambazaji umeme vijijini wa REA unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Taarifa ya Henry Masanja ina mengi zaidi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *