Pezeshkian: Kuna ishara ‘ya kutia moyo’ katika mazungumzo na Marekani, lakini Iran iko tayari kwa hali yoyote
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amekaribisha ishara ya "kutia moyo" katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa amani wa Tehran lakini amesema Jamhuri…