Simba yaanza vyema Kombe la Shirikisho, KMC yatupwa nje
Simba imetinga raundi ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB msimu huu baada ya leo kuibuka...
Simba imetinga raundi ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB msimu huu baada ya leo kuibuka...
Ahadi ya Serikali ya kuchapisha vitabu vya washindi wa Tuzo ya Taifa ya Uandishi Bunifu ya...
Huyu ndio Katanga sasa...Teddy naye hakomi 😅🥹 #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka za kidini nchini Saudi Arabia, imetangaza kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuonekana kwa mwezi mwandamo nchini humo hii leo. Kwa mujibu wa mamlaka nchini humo…
#HABARI: Watoto watatu wa familia moja, waliokuwa wanaishi Kijiji cha Kwangahu Kitongoji cha Mweka Kata ya Kitumbi huko wilayani Handeni mkoani Tanga, wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kushika moto…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesitisha leseni 43 za uchimbaji wa madini ya Bauxite...
#HABARI: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amewataka wathibiti ubora wa shule kutoka halmashauri 184 nchini kushirikiana kwa karibu na walimu katika kutekeleza mkakati wa kitaifa wa…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 17, 2026 - WATU 4 WAFARIKI DUNIA KWA KUSOMBWA NA MAJI MVUA RUKWA
Alipotafutwa Mkuu wa Chuo cha Biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya, Dk Beny Mwenda kuhusiana na...
#HABARI: Viongozi na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefanya ziara ya kikazi katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), ambapo wamepongeza matumizi sahihi ya kodi za Watanzania.…
Stephanie Ruto alitoa mchango wa KSh 3 milioni kwa kituo cha kutunza watoto cha Mbiuni, akisaidia taasisi hiyo huku akisisitiza mapenzi yake kwa ustawi wa watoto.
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 17, 2026 imekutana na Rais mstaafu wa Jumuiya…
Yaytseslav ambaye alipata sifa mbaya kwa kuwarekodi wanawake bila idhini, alifichuliwa na utambulisho wake halisi baada ya kuwahadaa watu.Ufichuzi huo uliibua hasira
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, amehitimisha mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 15 katika eneo la Kariakoo, ukihusisha familia ya marehemu Abdallah Sultani Mtambo…
Wafanyabiashara wa nguruwe katika halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani hapa wametakiwa...
Kwa mujibu wa Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya...
Dereva huyo alikamatwa Februari 14, 2026, katika kijiji cha Rubare, Wilaya ya Bukoba Vijijini...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema uandishi wa vitabu una mchango mkubwa katika kuhifadhi utamaduni wa taifa na kujenga uzalendo kwa watoto kupitia vitabu vinavyoakisi maadili…
Katika maagizo yake, Dk Mwigulu amemuelekeza mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya kutekeleza hukumu...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania, Ismael Kimirei amesema kumekuwa na upotevu mkubwa wa mazao ya uvuvi baada ya kuvunwa hali inayosababisha nchi kukosa mapato, huku akibainisha…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi imekamata kilo 299.8 za mirungi na kuteketeza ekari 203 za mashamba ya zao…
Nguli wa Bongo Fleva, Joseph Haule (Profesa Jay) amefunguka kurudi upya jukwaani, akisisitiza...
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesifu matumizi sahihi ya kodi za wananchi katika mradi wa Bwawa la Julius Nyerere, ikisema mradi huo unaonesha jinsi kodi zinavyochochea maendeleo kwa kuongeza umeme…
Salamu za Rambirambi (Feed generated with FetchRSS)
Urithi wa Kelvin Kiptum unadumu miaka miwili baada ya kifo chake, huku mizozo ya kifamilia ikizuka, na mjane wake, Asaneth Rotich, kuibuka tena kwenye mitandao
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA, FEBRUARI 17, 2026 -ASILIMIA 24 YA WANAFUNZI HAWAJARIPOTI SHULE
#HABARI: Watu watatu wakazi wa Mtaa wa Kidinda wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wamenusurika kifo baada ya nyumba kuungua moto, unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme na kuteketeza baadhi ya samani…
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesifu matumizi sahihi ya fedha za kodi za watanzania katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kufuatia ziara yao ya kikazi Februari 14, 2026, ikieleza…
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ameamsha shangwe baada ya kufanikiwa kumaliza mgogoro wa ardhi wa muda mrefu ulihusu eneo lililotengwa na Serikali kwa ajili ya maakaburi kuvamiwa na…
Kufuatia kifo cha mwanamuziki mkongwe Steven Hiza, kilichotokea jana jioni Februari 17,2026...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemaliza mgogoro wa takriban miaka 15 kuhusu umiliki wa nyumba namba 12, kiwanja namba 15, eneo la Kariakoo uliokuwa ukihusisha familia…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeelezea maeneo yanayotumiwa na wafanyabiashara kukwepa kodi...
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema licha ya kushindwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wamepata somo zuri wanalotaka kuanza kulitumia kesho Alhamisi dhidi…
BAADA ya vipigo viwili mfululizo katika mechi za Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema hatarajii kurudia makosa kwenye pambno lijalo la michuano ya Kombe la Shikirikisho…
Siku moja baada ya kuzinduliwa kwa Kliniki ya Sheria katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar...
DODOMA: THE Deputy Minister of Energy, Salome Makamba, has today, February 17, 2026, launched a clean cooking energy project at Kondoa Girls’ Secondary School in Dodoma region. The project is…
LICHA ya Pamba Jiji jioni ya leo kuwa na kibarua cha kukabiliana na Alliance FC katika mechi ya hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho (FA), kocha wa timu…
Jumla ya Shilingi Bilioni 2 zimetolewa kwa wajasiriamali wa Jimbo la Mtumba, mkoani Dodoma, kwa lengo la kuwawezesha kupata mitaji nafuu na kujikwamua kutoka kwenye mikopo isiyo rasmi yenye riba…
Wakati Rais wa Kenya, William Ruto akiitisha kikao cha dharura cha wakuu wa nchi wanachama wa...
#HABARI: Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki, kufuatia kifo cha nguli wa muziki na mtunzi wa wimbo, 'Tanzania Yetu', Mzee Steven Hiza. Rais Dkt.Samia…
Cutting Through Distances: The New Economic Corridor’s Promise Reducing the time and expense involved in transporting goods is no small feat, but the new India-Russia-China corridor aims to do just…
Wakati Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, akitarajiwa kuanza ziara ya siku nne mkoani Kilimanjaro...
MAPUMZIKO | #CRDBBankFederationCupFinal: HT: KMC FC 2-1 Bandari Iko LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #CRDBBank #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #KMCFC #BandariFC #KMCBandari (Feed generated with FetchRSS)
Mechi za wiki hii ligi ya mabingwa kwa Wanawake. Michezo hii kuruka mbashara kupitia chaneli ya ESPN. Chaneli hii ya ESPN inapatikana katika kifurushi cha shilingi 35,000. #UEFAWOMENSCHAMPIONSLEAGUE #ESPN #Azamtvsports…