Maafisa 700 wa uhamiaji kupunguzwa Minnesota
Serikali ya Rais Donald Trump inapunguza idadi ya maafisa wa uhamiaji huko Minnesota baada ya jimbo hilo na maafisa wa jimbo kukubali kushirikiana kwa kuwasalimisha wahamiaji waliokamatwa.
Serikali ya Rais Donald Trump inapunguza idadi ya maafisa wa uhamiaji huko Minnesota baada ya jimbo hilo na maafisa wa jimbo kukubali kushirikiana kwa kuwasalimisha wahamiaji waliokamatwa.
MSHIKEMSHIKE: Azam FC, Yanga, Singida BS, kimahesabu zinaweza kufuzu robo fainali ya mashindano ya CAF msimu huu, unaiona Tanzania ikipeleka timu ngapi robo fainali ya michuano hiyo? Tuandikie maoni yako…
Serikali imetoa wito kwa wadau kutoka sekta ya fedha nchini kuanzisha huduma na bidhaa za kifedha zitakazowezesha ajenda ya nishati safi ya kupikia kusambaa zaidi, hususan kwa kuwawezesha wajasiriamali wadogo…
Diwani wa Kata ya Ketara (CCM) katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara, Philipo Gikaro...
#HABARI: Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Geita imefyeka ekari tatu za bangi zilizokuwa zimepandwa kwa siri ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Geita-Lwamgasa. Watu wasiofahamika walivamia hifadhi…
#HABARI: Askari Polisi wa Jiji la Tanga wakiwa na silaha za moto wamelazimika kuingilia kati kufuatia taharuki za mamia ya wakazi wa eneo la Neema kuingia katika barabara kuu inayounganisha…
Marius Borg Hoiby, mwana wa Crown Princess wa Norway, ameiambia mahakama ya Oslo kuwa hakuwabaka wanawake wanne kama inavyodaiwa, akisisitiza kuwa mahusiano yote yalikuwa ya ridhaa licha ya mashtaka mazito…
Wawekezaji wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wamefunguka changamoto zinazowakwamisha kuwekeza, zikiwemo...
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Anamringi Macha ametoa rai kwa Wanachi Mkoani Simiyu kuchangamkia fursa ya umeme Vitongojini wenye thamani ya…
Rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, wamesifu ushirikiano thabiti wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama kati ya nchi hizo mbili wakisema unatuliza hali katika nyakati hizi…
Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imezitaja aina 10 za saratani zinazosumbua katika Mkoa wa...
Watu wasiopungua 21 wanaripotiwa kuuawa na zaidi ya wengine 30 kujeruhiwa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza siku ya Jumatano baada ya mapigano kuanza upya katika eneo hilo la…
Katika juhudi za kuleta utulivu wa kudumu nchini Kongo, Umoja wa Afrika umeanzisha jopo maalum la upatanishi linalolenga kuratibu mazungumzo na kuhimiza ushirikiano wa kikanda. Ushiriki wa Museveni, Kenyatta, Obasanjo…
Wajumbe kutoka Moscow na Kyiv wamekutana leo mjini Abu Dhabi kwa awamu nyingine ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani kuhusu kumaliza vita vilivyodumu takribani miaka minne.
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema watu wenye silaha wamewauwa zaidi ya watu 168 katika jimbo la Kwara nchini Nigeria. Hayo ni ni miongoni mwa mashambulizi mabaya kutokea hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, leo amewaongoza...
Kansela wa Ujerumani, Merz, anazuru nchi tatu za Ukanda wa Ghuba ndani ya saa 72 tu. Katika ziara hiyo, kama alivyofanya awali nchini India, anatafuta ushirikiano mpya wa kimkakati wakati…
Waasi wa M23 wamekiri kuhusika na shambulizi la droni liliulolenga uwanja wa kimkakati wa ndege unaotumiwa na jeshi katika eneo la kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Jeshi la Polisi mkoani Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa gari la kubebea wagonjwa la Hospitali ya Manispaa ya Musoma mkoani Mara. Gari hiyo…
MSIMAMO: Mambo yalivyo baada ya mechi moja ya leo. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
Serikali imeshauriwa kuwekeza zaidi katika sekta ya ardhi na kuhakikisha inatoa hati kwa wananchi kwa wakati ili kuepukana na migogoro ya ardhi. Ushauri huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la…
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP limesitisha shughuli zake katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mwa Sudan Kusini baada ya msafara wake wa misaada kushambuliwa.
#NBCPL: Shuti la mbali la Kassim Haruna Shaban likaitanguliza Fountain Gate na baadae Fabrice Wa Ngoy kuisawazishia. FT: Fountain Gate 1-1 Namungo Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz Jumatano anaanza ziara yake ya siku tatu ambayo ni ya kwanza katika eneo tajiri na lenye umuhimu wa kimkakati la Ghuba.
Mapendekezo ya Mpango wa Serikali ndani ya Bunge yameendelea kuibua hisia tofauti miongoni mwa...
Wananchi wa Tabata, jijini Dar es Salaam bado wanaishi katika sintofahamu huku wakilazimika...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania...
#NBCPL: Wamegawana alama FT: Fountain Gate 1-1 Namungo Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
Viongozi wa Uturuki na Saudi Arabia wamepinga vikali harakati za kujitenga na mifumo sambamba katika Pembe ya Afrika walipokutana jijini Riyadh, Saudi Arabia.
#NBCPL: Fountain Gate yaendelea kushika usukani. 60’: Fountain Gate 1-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
Changamoto hiyo pia inawakumba wakazi wa Zanzibar, imepelekea Vodacom Tanzania Foundation...
Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kuugeuza…
Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kuugeuza…
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Matibabu ya Mionzi Tanzania (RAOTA), Dkt. Fredrick Ludovick amesema miongoni mwa njia rahisi za kupambana na saratani ni pamoja na uchunguzi wa awali. Amewashauri…
Rais amesema Serikali ya Tanzania imejikita katika kujenga misingi imara inayowawezesha...
Arsenal ilifika fainali yao ya kwanza katika zaidi ya miaka mitano, ikiishinda Chelsea 4-2 kwenye Kombe la Carabao. Kai Havertz alifunga bao muhimu dakika za mwisho.
#NBCPL: Fountain Gate wanakwenda Mapumziko wakiwa kifua mbele. HT: Fountain Gate 1-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
ZIKIWA zimesalia dakika 180 kwa Azam FC kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa kikosi hicho, Florent Ibenge, amesema timu hiyo…
VIWANJANI: “Mtanda ni mtu wa mpira ndio maana Pamba pale ilipo inafanya vizuri kwa sababu yake…” Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayewakilisha Mkoa…
Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo amesema idadi ya wagonjwa wa saratani wanaotibiwa katika hospitali hiyo inaendelea kuongezeka, na kuwataka wananchi kujenga utamaduni wa kufanya uchunguzi wa…
MECHI tatu za mwezi Februari huenda zikatoa picha na ramani ya safari ya Geita Gold kuelekea Ligi Kuu Bara kwani zinaweza kuharibu hesabu na kutibua mipango endapo haitachukua alama zote…
WINGA wa Azam raia wa Senegal, Pape Doudou Diallo, amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Shabana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu, baada ya…
KIUNGO mshambuliaji wa KMC, Daruwesh Saliboko ametumia siku 86 ambazo ni sawa na miezi miwili na siku 25 kupachika bao lake la tatu na la ushindi kwa timu hiyo ikiichapa…
Serikali imekiri stendi ya mabasi katika wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera haitoshelezi mahitaji...
BAADA ya kukosa ushindi kwenye mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara, uongozi wa Mashujaa upo katika mazungumzo ya kumalizana na kocha wa kikosi hicho, Salum Mayanga ili kufikia makubaliano…
Mfumo wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) utasaidia kuboresha utoaji wa huduma, kuongeza ufanisi wa kazi na kutumia teknolojia ya kisasa katika kusimamia kodi za ndani. Hayo yameelezwa na…
Katibu mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, alizungumzia uvumi anaondoka chamani, akithibitisha uaminifu wake katikati ya fujo kuhusu uongozi na uhalali wa kikatiba wa chama.
Baraza la Seneti la Marekani limepiga kura siku ya Jumanne, Februari 3, 2026, kuanzisha upya AGOA kwa mwaka mmoja. Hatua hii imesainiwa mara moja kuwa sheria na Rais wa Marekani…