#HABARI: Kufuatia chapisho lililowekwa katika mitandao siku chache zilizopita, clip iliyobeba maombi ya Wananchi wa Vigwaza Pwani kwenda kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakiomba nusra ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma kwani Imani wanayo ila razki ndio changamoto.
Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameguswa na kufikisha mkono wake wa Iftar kwa Waislam na Wakristo ambao wote kwa pamoja wapo katika kipindi cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ikiwa ni sehemu ya ibada.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania