Wahudumu saba wa afya wamefariki siku ya Ijumaa, Machi 13, wakati boti yao ilipozama kutokana na upepo mkali katika Ziwa Tanganyika magharibi mwa Tanzania, ikulu ya rais imesema katika taarifa.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Watu wengine kumi na wanne waliokolewa na wanatibiwa katika hospitali iliyo karibu. Timu za uokoaji bado zinatafuta watu wawili ambao hawajulikani walipo.

Katika tukio jingine, mvuvi mmoja alifariki na wengine wawili kujeruhiwa wakati mtumbwi wao ulipopigwa na radi katika ziwa hilo, taarifa hiyo imeongeza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *