Hali ya sintofahamu inazidi kulikumba jiji la Mbeya na viunga vyake, huku likighubikwa na matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, wizi na upigaji nondo, ambayo yameongeza hofu na taharuki kwa wakazi wa jiji hilo.
Kufuatia kushamiri kwa matukio hayo, watu sita wamefariki dunia, wakiwemo wahalifu wanne waliouawa na wananchi wenye hasira pamoja na raia wawili waliopigwa nondo kwa nyakati tofauti wakiwa majumbani mwao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)