JULIO: “…kuna jambo zuri vijana wangu watafanya”.

Mashujaa FC yahitimisha mazoezi yake kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Azam FC na tayari tiketi zaidi ya 300 zimeshanunuliwa kwa ajili ya mashabiki kuingia dimbani bure.

Kocha wa kikosi hicho, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema anaijua vizuri Azam FC hivyo kiufundi amefanya maandalizi stahiki na hana wasiwasi na vijana wake…

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Mashujaa FC, anasema “…mtoto akiunyea mkono wako, huwezo kuukata”.

Mechi hii itapigwa Machi 19 LIVE #azamSports2HD

#NBCPremierLeague #NBCPL #MashujaaFC #AzamFC

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *