Azam FC tayari iko Kigoma na jioni ya leo imepiga tizi kwenye Uwanja wa Kajuna, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhid ya Mashujaa FC.
Kiungo wa kikosi hicho, Himid Mao ambaye itakuwa ni mara yake ya kwanza kukiwasha kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, anazungumza machache kuhusu maandalizi yao, akisema kila mchezaji anajua anachotakiwa kufanya.
Mechi hii itapigwa Machi 19 LIVE #azamSports2HD
#NBCPremierLeague #NBCPL #MashujaaFC #AzamFC
(Feed generated with FetchRSS)