Kutana na Athumani Shamte, kijana ambaye maisha yake yaligeuka ghafla kutoka ndoto za uchumi hadi safari ya sheria, baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha.

Akiwa nyuma ya nondo za magereza, ndipo alipoanza kuhoji haki yake, akidai alibambikiwa kesi. Hapo ndipo ilipozaliwa ndoto mpya… baada ya kutoka gerezani, akaanza rasmi kusomea sheria katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, akiamini kuwa atawajibu wale wote waliotakiwa kusimama mahakamani kupigania haki ya wengine.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *